Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Samahani Mkuu, Ila Pia Asante Kwa Ushaur Wako, Nimebanwa
 
Maya zaidi ukute aanakaa Miezi sits eti kisubiria rapurapu *****...kijana kuna hatua aliluka inabidi ajitahidi kila weekend kununua malaya akijiandaa kupata dam mkali bila kushirikisha kichwa cha chini
 
Kwa maelezo yako hiyo mbunye ya huyo mchumba wako inachakatwa sana yaani sana
Inshort huyo demu hakufai
Sawa Mkuu Hili Nilishaliona Na Kiukweli Kinachonitesa Ni Kumbukumbu Tu Ila Simuhitaj Tena
 
Asante Mkuu, Maneno Yako Ni Makal Ila Yameniingia Na Yanahakisi Nilivyo! Nawezaje Kutoka Hapa?
 
Ni Kweli Bro Na Sijawahi Kumwambia Mtu Yeyote! Nikiamin Nita Hold Lakin Nimeshindwa Aisee Nipo Katika Hard Times.
 
Maya zaidi ukute aanakaa Miezi sits eti kisubiria rapurapu *****...kijana kuna hatua aliluka inabidi ajitahidi kila weekend kununua malaya akijiandaa kupata dam mkali bila kushirikisha kichwa cha chini
Sijawahi Kuruka Hatua Bro, Ila Kiuhalisia Hapa Nimekwama Ndio Maana Nikaja Kuomba Ushauri! Ujana Mwing Nimepitia Bro
 
Muda mingine ni ngumu kumuacha yule umpendaye,Ni vigumu kwa sababu unafikilia jinsi ulivyojitoa kwake.
Hii Pia Inachangia!

Nishawah Kumlipia Ada Wakat Nipo Chuo Nilijibana Kwa Ajil Yake!

Kuna Meng Tume Share! Namsahauje? Hapo Ndio Ninapokwama
 
Achana na huyo mwanamke ni shetani! Tena mwanamke aliyekukana mbele ya msela hakufai!
Asante Mkuu, Moyo Ushamkataa Ila Memories Ndio Tabu Kuzitoa, Ila Michango Ya Hapo Juu Imeanza Kunifungua
 
Hebu kakanyage mafuta ya upako tuone kama yatajirudia hayo matatizo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…