Msaada: Huu ni upendo au nimerogwa?

Pole kwa mkasa uliokupata...sioni dalili zozote za ulozi kwako...ila ni kuwa bado unampenda huyo dada.

Anza taratibu kumtoa akilini kwako

Mfano
1. Futa picha zake zote na za uchi wake pia
2. Futa na block namba zake zote.
3. Anzisha mahusiano na mwanamke mwingine.

Ushauri huu utakusaidia psychologically maana inaelekea tayari una depression.
Achana kabisa na huyo dada maaa uhusiano hio ni TOXIC kwa afya yako ya akili na mwili mzima kwa ujumla.
 
Ukikaa nchale,ukiinuka nchale huwaga wazito sana katika kufanya maamuzi.
 
Yani nimekuonea huruma bure.
Achana na hiyo takataka inaona bila yeye huwezi pata chiu mtamu huko nje.

Pole sana aisee.

Kumbe wanaume kama wewe wapo bado jamani
 
Ila we sio mwamba hata kidogo simply wewe ni nice guy yani ulimuuliza kati ya wewe na mshikaji anampenda nani na bila uwoga akakujibu anampenda mshikaji ila bado hupati sababu ya kumuacha..,
Kwa hiyo unaona yule ni mke kwako..??
Ukimuoa jiandae kulea watoto wasio wako ila hata hivyo umesema uko tayari kwa hiyo fanya kitu roho inapenda japo una uboya sana
 
Nikwambie tu ukweli ambao utakusaidia, kwanza uyo msichana amekupa limbwata alafu mkiachana kuna vitu huwa wanafanya navijua wiki tu unamrudia hta kama ulimbock utamblockua,

Hakupendi na anakupotezea muda achana na iyo miaka kumi iliyopita hesabu ni hasara ila inayoendelea kuanzia sasa ni hasara mara mia.

Hadi analiwa jicho we bado upo hadi anakukana we bado upo natamani nikutukane tusi zito ila naogopa ban ila likufikie tusi lolote zito,

Tafuta mwanamke mwingine tafuta wanawake wwngine watakukeep busy utamsahau tu kei yake sio ya gold,kama ulimla jicho sidhani kama utaweza sikia ushauri wa yoyote hapa. Achna nae weww zuzu mtu gani wewe kabila gani wewe k.... Uo ubongo umeujaza kinyesi cha kuku au dawa ya mswaki. Unasgindwa kufanya maamuzi ngoja maamuzi yakufanye
 
Story yako inatia hasira tu, we mwanaume wa wapi had demu anakucheat sijui mara tatu bado umo tu! Sijaimaliza hata kuisoma, siku nyingine be a man kwa mwanamke laa sivyo utaendeshwa mno kama gari bovu,

usijifanye kuleta upendo wa kimahaba kwa kahaba utakuja kufa siku si zako.
 
Babuuu watoto wa Pwani wana kitu inaitwa Udi kama sikosei dawa ya mbu akikuzungushua hauluki mze, asa na wewe mtoto wa Ntwara yanakukutaje hayo? Unazingua.
 
Umefanya ujinga na utoto mwingi sana aisee
 
Hakuna cha mapenzi wala nini huo ni ubongo zozo, na ukiuendekeza utakufa bure kwa upuuzi huo.. Piga chini maisha yaendelee
 
......nikamla....alivyorudi tena...nikamla.....

Utapata ushauri na yatasemwa mengi ila Mimi nasema tu kuwa unaweza kuwa kichwa darasani lakini ukawa na USHAMBA, UZUZU na UJINGA kwenye mapenzi.
 
Uchawi haupo
 
Mimi nikipenda napenda haswa ila huu ufala siajwahi Fanya.

Soln. Tafta demu mzuri kumzidi, anza nae taratibu na baada ya muda utampenda na huyo was kwanza utansahau.
 
Kwani hakuna mademu wengine wa kuwazingatia huko kusini!!??
tafuta mademu wengine endelea kupiga milazo stress na kumbu kumbu vitapotea automatically
 
Alimpima kama huyo demu wake ameliwa kisawa sawa.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…