Eti ndugu watakusakama kwa mkeo kupata mimba, hao ndugu ndiyo remote control ya ndoa yako! Hebu tulia brother, tafuta ushauri wa daktari jinsi ya kulea mimba na mtoto ili akiwaachisha tu watoto aende shule kusoma.
1. Msitoe mimba
2. Inawezekana kabisa kuwa mjamzito na ukaona siku zako pia
3. Inawezekana alichoma sindano kitu kikiwa kimeshaingia,hivyo vitu ni vya kuwa navyo makini sana,ukijisahau tu basi,au kuchanganya tarehe goal
Leo ameenda pima anaimbiwa kuwa mimba ina miezi minne...ina maana mimba iliiningia kwenye wiki ya mwisho wa mwezi wa nane na sindano alichoma 15/08/2016
Leo ameenda pima anaimbiwa kuwa mimba ina miezi minne...ina maana mimba iliiningia kwenye wiki ya mwisho wa mwezi wa nane na sindano alichoma 15/08/2016
[quote uid=228324 name="lin" post=18893929]1. Msitoe mimba 2. Inawezekana kabisa kuwa mjamzito na ukaona siku zako pia Inawezekana alichoma sindano kitu kikiwa kimeshaingia,hivyo vitu ni vya kuwa navyo makini sana,ukijisahau tu basi,au kuchanganya tarehe goal[/QUOTE] Leo ameenda pima anaimbiwa kuwa mimba ina miezi minne...ina maana mimba iliiningia kwenye wiki ya mwisho wa mwezi wa nane na sindano alichoma 15/08/2016