Mwamba wa Dimbani
Member
- Mar 29, 2020
- 6
- 3
Ahsante MkuuNilichogundua mark2 gx110 zinalo hilo tatizo la check ingine, gari yangu ya kwanza kumiliki ilikuwa gx110 na ilikuwa na tatzo hilo hilo ambalo ilifanyika diagnosis na kugundua plug moja ya vvti ilikufa. Na jamaa yangu nae juzi ya kwake ilikuwa hivyo hivyo akatengeneza sijui tatzo lilkuwa nini.
Mimi sio fundi nmetoa uzoefu wangu tu kuhusiana na gx110.
Kuna mabadiliko yoyote kwenye engine yako. Labda imeanza kuonesha kama haingurumi vizuri ama vipi?Ahsante Mkuu
Je, kuna dalili gani nyingine ilikuwa inaonyesha zaidi ya hy ya kuwaka taa ya check injini?
Sent using Jamii Forums mobile app
check engine ni error ambayo ipo general
its not an error, its a warning
its not general, it is code-specific
Mkuu inaweza isiwe error ila taa ya check engine ipo general inaweza ikawaka sababu ya vitu vingi. ndo maana nikamshauri aende kwa mtu mwenye diagosis tool ili aweze kuona hiyo code ya kitu sababishi kilichofanya hiyo taa iwakeits not an error, its a warning
its not general, it is code-specific
Hapana, hakuna mabadiliko ya muungurumo na nilipita kwa fundi makenika mmoja wa injini kuuliza baadhi ya mambo juu ya injini na akawasha gari akasema ipo sawaKuna mabadiliko yoyote kwenye engine yako. Labda imeanza kuonesha kama haingurumi vizuri ama vipi?
Nenda kwa mtu mwenye diagnosis tool, check engine ni error ambayo ipo general inaweza ikawa moja ya vitu vingi.
Ila kwa maelezo yako inaweza ikawa ni oxygen sensor
Sasa fanya reset ya ECU yako. Jinsi ya kureset, Chomoa betri subiri dakika chache kadhaa, irudishe tena. Washa gari tembelea kama kawaida, ikiwaka tena, ipeleke ikafanyiwe diagnosis. kama haijawaka baada ya kilomita nyingi (walau 100KM ivi) ujue ilikuwa na hashuo tu.Hapana, hakuna mabadiliko ya muungurumo na nilipita kwa fundi makenika mmoja wa injini kuuliza baadhi ya mambo juu ya injini na akawasha gari akasema ipo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa manufaa ya umma, naomba utupe hiyo elimu ya kupima manually unafanya je?taa inawaka sababu kuna sehem kuna shida au kuna hali siyo yakawaida imerepotiwa na kwakuwa gari huwa unaidumbukiza kwenye maji basi yawezekana kabisa kuna mahala maji huwa yanaingia na kureport shida taarifa zinakwenda kwenye ECU . hapo kwa urahisi zaidi nenda kampime pindi gari imewaka taa utapata jibu sahihi huwa inawaka kwasababu gani.. au kama unaweza mm naweza nikakuelekeza ukaipima mwenyewe manually na ukishanipa jibu la fault gani inasoma nitakwambia shida ni nn hapo??. au naweza nikakupa kila kitu umalize mwenyewe
Naomba elimu hy ya kuipima Mkuu kwa wote hapa ubaonitaa inawaka sababu kuna sehem kuna shida au kuna hali siyo yakawaida imerepotiwa na kwakuwa gari huwa unaidumbukiza kwenye maji basi yawezekana kabisa kuna mahala maji huwa yanaingia na kureport shida taarifa zinakwenda kwenye ECU . hapo kwa urahisi zaidi nenda kampime pindi gari imewaka taa utapata jibu sahihi huwa inawaka kwasababu gani.. au kama unaweza mm naweza nikakuelekeza ukaipima mwenyewe manually na ukishanipa jibu la fault gani inasoma nitakwambia shida ni nn hapo??. au naweza nikakupa kila kitu umalize mwenyewe
Mkuu hii ishu imenitokea sasa hivi baada ya leo asubuhi kumwagia maji kwenye kioo cha mbele kukisafisha! Naomba nielekeze cha kufanyataa inawaka sababu kuna sehem kuna shida au kuna hali siyo yakawaida imerepotiwa na kwakuwa gari huwa unaidumbukiza kwenye maji basi yawezekana kabisa kuna mahala maji huwa yanaingia na kureport shida taarifa zinakwenda kwenye ECU . hapo kwa urahisi zaidi nenda kampime pindi gari imewaka taa utapata jibu sahihi huwa inawaka kwasababu gani.. au kama unaweza mm naweza nikakuelekeza ukaipima mwenyewe manually na ukishanipa jibu la fault gani inasoma nitakwambia shida ni nn hapo??. au naweza nikakupa kila kitu umalize mwenyewe