GKM JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 738 Reaction score 332 Nov 14, 2013 #1 Wakuu nawasalimu sana. Please naomba kwa anaejua mahali/au anayo frame kwa ajili ya biashara ya nguo za kike ani-PM please. Kwa sasa nipo dar lakini nahitaji kuhamishia biashara arusha. Naomba msaada wenu wakuu. Natanguliza shukrani.
Wakuu nawasalimu sana. Please naomba kwa anaejua mahali/au anayo frame kwa ajili ya biashara ya nguo za kike ani-PM please. Kwa sasa nipo dar lakini nahitaji kuhamishia biashara arusha. Naomba msaada wenu wakuu. Natanguliza shukrani.
washwa washwa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 1,613 Reaction score 728 Nov 14, 2013 #2 ipo moja hapa karibu na stend ya mabas ya Dar, bei sh laki 7
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,665 Nov 14, 2013 #3 washwa washwa said: ipo moja hapa karibu na stend ya mabas ya Dar, bei sh laki 7 Click to expand... Washawasha hio nafasi haina kilemba? na ni stend arusha upande upi? je iko ktk senta nzuri yaani barabarani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
washwa washwa said: ipo moja hapa karibu na stend ya mabas ya Dar, bei sh laki 7 Click to expand... Washawasha hio nafasi haina kilemba? na ni stend arusha upande upi? je iko ktk senta nzuri yaani barabarani
R ratzinger Member Joined Sep 9, 2010 Posts 21 Reaction score 1 Nov 14, 2013 #4 kuna moja nzuri hapa florida bei ni laki mbili kuna ndugu yangu anaiachia december kama upo interested ni pm
kuna moja nzuri hapa florida bei ni laki mbili kuna ndugu yangu anaiachia december kama upo interested ni pm
GKM JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 738 Reaction score 332 Nov 14, 2013 Thread starter #5 ratzinger said: kuna moja nzuri hapa florida bei ni laki mbili kuna ndugu yangu anaiachia december kama upo interested ni pm Click to expand... Nimeku-PM mkuu wangu,,please tuwasiliane. Asante sana Mkuu.
ratzinger said: kuna moja nzuri hapa florida bei ni laki mbili kuna ndugu yangu anaiachia december kama upo interested ni pm Click to expand... Nimeku-PM mkuu wangu,,please tuwasiliane. Asante sana Mkuu.
GKM JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 738 Reaction score 332 Nov 14, 2013 Thread starter #6 washwa washwa said: ipo moja hapa karibu na stend ya mabas ya Dar, bei sh laki 7 Click to expand... Nimeku-PM mkuu, naomba tuwasiliane.. Natanguliza shukrani
washwa washwa said: ipo moja hapa karibu na stend ya mabas ya Dar, bei sh laki 7 Click to expand... Nimeku-PM mkuu, naomba tuwasiliane.. Natanguliza shukrani
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 14, 2013 #7 St.Apolinary said: Washawasha hio nafasi haina kilemba? na ni stend arusha upande upi? je iko ktk senta nzuri yaani barabarani Click to expand... Mkuu mimi naitwa Washawasha na huyo mwengine anaitwa washwa washwa,na huyo sio mimi. Nalog off Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
St.Apolinary said: Washawasha hio nafasi haina kilemba? na ni stend arusha upande upi? je iko ktk senta nzuri yaani barabarani Click to expand... Mkuu mimi naitwa Washawasha na huyo mwengine anaitwa washwa washwa,na huyo sio mimi. Nalog off
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,665 Nov 16, 2013 #8 Washawasha said: Mkuu mimi naitwa Washawasha na huyo mwengine anaitwa washwa washwa,na huyo sio mimi. Nalog off Click to expand... Duh Nimekuelewa??? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Washawasha said: Mkuu mimi naitwa Washawasha na huyo mwengine anaitwa washwa washwa,na huyo sio mimi. Nalog off Click to expand... Duh Nimekuelewa???
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 21, 2013 #9 St.Apolinary said: Duh Nimekuelewa??? Click to expand... mkuu huyu jamaa anawachanganya wengi na hili jina. Nalog off
St.Apolinary said: Duh Nimekuelewa??? Click to expand... mkuu huyu jamaa anawachanganya wengi na hili jina. Nalog off
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Nov 21, 2013 #10 Washawasha said: mkuu huyu jamaa anawachanganya wengi na hili jina. Nalog off Click to expand... Mi nakuja na langu washer washer hapo sasa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Washawasha said: mkuu huyu jamaa anawachanganya wengi na hili jina. Nalog off Click to expand... Mi nakuja na langu washer washer hapo sasa
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 21, 2013 #11 Jerrymsigwa said: Mi nakuja na langu washer washer hapo sasa Click to expand... hahahaha kaka nadhani humu patakuwa hapatoshi sasa. Nalog off
Jerrymsigwa said: Mi nakuja na langu washer washer hapo sasa Click to expand... hahahaha kaka nadhani humu patakuwa hapatoshi sasa. Nalog off