Tupo usukumani huku, bila shaka tatizo lako litapona,
wanatibu Machine ambayo haijawahi simama kabisa, wanatibu upungufu wa nguvu za kiume yani inakuwa na presha kidogo kuliko kawaida.
kama mashine haijahi simama, unachukua mtoto wa mbuzi aliye zaliwa baada ya siku tatu alafu unakata kale kakitovu ambako huwa kananing'inia , unakausha, unakasaga unakuwa unga unga, kisha unachanganya na dawa ya mti shamba, machine tayari inakuwa katika Grid ya Taifa.