msaada decoder ya zuku

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,440
Reaction score
2,673
wakuu naombeni msaada decoder yangu ya zuku sometime inawaka maranyingine haiwak inafail kuboot niki update ota inafail ku update inaleta E603
 
Mdau kama itakuwa inawaka na kuzima itakuwa na matatizo, ina muda gani tangu uinunue?
 
inamwaka yan navo guess itakuwa system ime corrupt najiuliza jinsi gan ntaweza kui update kwa usb..
 
Duh..kwa hapo itabidi uwasiliane na huduma kwa wateja watakupa msaada zaidi au pengine wanaweza kukuelekeza kwa wakala ili akubadilishie decoda na kukupatia nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…