Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,599 Oct 22, 2015 #1 Habari zenu wana Jf Naomba msaada wa kupata chuo cha afya kinachotoa kozi ya medical attendant ngazi ya certificate kiwe ndani au nje ya Dar es salaam. Natanguliza shukrani
Habari zenu wana Jf Naomba msaada wa kupata chuo cha afya kinachotoa kozi ya medical attendant ngazi ya certificate kiwe ndani au nje ya Dar es salaam. Natanguliza shukrani
SUPER PREDATOR JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 2,093 Reaction score 725 Oct 22, 2015 #2 Ngoja Gentamycine na Erythromycine waje