Wakuu naomba msaada wenu kuna siku mbili sikupata channel ya Star TV nikajua ni tatizo dogo lakini sasa hata kwenye list haipo
Natumia Star times..nifanyeje msaada jamani

Hapa kuna kitu kinaendelea ndani ya Star TV na RFA. Haiwezekani wakapotea kimyakimya bila hata kutoa taarifa hasa ukizingatia ni TV pekee iliyojitwisha mzigo wa kutangaza kampeni za CCM mwaka 2015. Au wametoswa?
Basi tatizo lipo kwa wote watumiaji wa hicho kin'gamuzi takribani siku mbili star tv haionekani, na sasa ndio wameitoa kabisa hata kwenye list haipo sijui shida ni nini...
Wakuu naomba msaada wenu kuna siku mbili sikupata channel ya Star TV nikajua ni tatizo dogo lakini sasa hata kwenye list haipo
Natumia Star times..nifanyeje msaada jamani
itakuwa imefungwa maana majuzi ilitangazwa kuwa sahara media inadaiwa mabilion na tra, pamoja na kujikosha kooote kuibeba ccm wakati wa kampeni wajue magu haangalii, kodi lazima