Habarini,
Camera yangu Powershot A2500 inasumbua lens haifunguki. Ukiiwasha inawaka na kujizima, nimejaribu kufuata yser manual ku-troubleshoot lakini nimeshindwa kabisa kuirekebisha.
Powershot ELPH 100 hii imezima ghafla, nimejaribu kubadili betri na njia nyingne za ku-troubleshoot nimeshindwa.
Naomba mnisaidie jinsi ya kuzifanyia marekebisho au kunielekeza ninapoweza kupata fundi anaeaminika.
Asanteni