Naomba mnisaidieni kwa hili,vyuo vimefunguliwa na wengine washaripot na wanasema mpaka ulipe angalau nusu ya karo na fees nyingne,sasa mimi ntalipaje karo na cjajua kama bodi ya mikopo kama italipa karo yote?.na hao bodi wanatoa lini majina ? na tukienda huko chuo 2tatumia nn kama ha2jaona mikopo?. naomba msaada kwa anaeelewa

We kubliana na masharti watakayotoa chuo. Lipa ada nusu kama BODI watakulipia unarudishiwa pesa yako kama hawatokulipia ni advantage kwako pia... Cha msingi nenda na hela ya matumizi ya kutosha..

Usiwazee sana. Jambo dogo sana hilo! Lipa ada kama,chuo kinavyosema na uwe na hela accomodation na food. Alafu ndo uwasikilizie hao jamaa wakikupa poa wakikunyima endelea kusoma if and only if plan yako ni kusoma for any means!! Mimi lilinikuta hili ila namshukuru Mungu hawa jamaa walinipa 99%'
dogo inategemea na vyuo,kuna vyuo kama udsm,ardhi,MUHAS,SUA,DIT hivyo ni fasta kidogo kuingiziwa,but ukisoma huko mavyuo ya kisanii ujue utadima kinyama,huko sokemu,st joseph,cjui rucco unaweza kusahau