Ni muda mrefu nimekuwa nikitumia Internet bila Data plan,yaani hata vifurushi vya cheka nimekuwa nikifungua vizuri internet.Sasa hivi juzi imekuwa ikigoma kufungua internet. La sivyo niondoe betri na niwashe ndo inakubari na kukubali kwake kumekuwa kwa shida, inafungua internet mara moja yapili mpaka nizime tena simu.
Msaada mwenye kuwahi kukutwa na tatizo kama hili, na je nikitu gani kimefanya hivi.Nimejaribi ku-wipe mara kwa mara lakini bado, na nikajaribu kufanya tena config..za TCP IP.
Help pls.