Mafuta (essential oils) yanapatikana nchi mbalimbali mfano France, Italy, China, Dubai, Uturuki nk, ila kwa experience yangu ya zaidi ya miaka 7 quality oils zinapatikana France, supplier ninaowasiliana nao huko France wanasema oils za Dubai huwa wanachukua viwandani huko France. Changamoto ya hizi oils ukiagiza apart from France unaweza pata mafuta ya low quality ukijua ni high quality.
Nadhani nitakuwa nimewapa mwanga cha muhimu do your own research ujiridhishe kabla hujaingia kwenye hii biashara.