Kama tzs 1,950,000 (Kariakoo) wiki 6 sasa zimeshapita tangu nipewe hiyo quotation. Kuna fursa maeneo gani? Napata challenge ya kupata madereva waaminifu.
Ukitaka fekon, san lg, toyo, sanya na majina mengine ya ajabu hizo utazipata china kwa wingi and BAJAJ, BOXER, TVS, MAHINDRA, HERO,.HIZI ZAPATIKANA INDIA ukisikia imetoka china ujue hiyo fake.