MBUNICHA Member Joined Dec 19, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Dec 28, 2014 #1 Ni miezi sasa inapita naitafuta playstore bila mafanikio.Ni app ambayo picha zake common saana insta yaan inazifanya picha ziwe na mwonekano ka zimechorwa hv. bt kwa rang nzuuri. Njeribu ma app mengmeng bt holla mwenye kijua jina nitajie hapa.
Ni miezi sasa inapita naitafuta playstore bila mafanikio.Ni app ambayo picha zake common saana insta yaan inazifanya picha ziwe na mwonekano ka zimechorwa hv. bt kwa rang nzuuri. Njeribu ma app mengmeng bt holla mwenye kijua jina nitajie hapa.
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Dec 28, 2014 #2 dah program za kuedit picha ninyingi sana hebu jaribu photo editor au mirror
MBUNICHA Member Joined Dec 19, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Dec 29, 2014 Thread starter #3 joh hizo zishajaribiwa........[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=P]#P IXL[/URL] ,#P .GRID,#P .Art,#P .layer nisha zijaribu hazina hizo Effect.
joh hizo zishajaribiwa........[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=P]#P IXL[/URL] ,#P .GRID,#P .Art,#P .layer nisha zijaribu hazina hizo Effect.
J jei90 Member Joined Nov 13, 2014 Posts 86 Reaction score 22 Dec 29, 2014 #4 Mkuu tumia Picsart ina common editing tools pamoja na advanced ones plus effects...then baada ya wiki njoo unipe feedback
Mkuu tumia Picsart ina common editing tools pamoja na advanced ones plus effects...then baada ya wiki njoo unipe feedback