Wakuu nilizima simu yangu kwa kuchomoa batter bila kuswitchoff nlipokuja kuiwasha ndo ikanletea a white screen na hyo sms on screen App Error 522 na option ya kureset,,lakini nkijarb kureset inakataa na kujirestart..naombeni msaada wa kufix hili tatizo..
Natumia blackberry 9520