Msaada: 0% available plugged in not charging kwa hp 250 g5

STERLING2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
239
Reaction score
75
Pc yangu Hp 250 g5 niliichaji siku mbili mfululizo... Siku ya tatu nkakuta ina ttzo kukaa na chaji.
Yaani nikiondoa tu charger inazima... Umeme tu ukizima na yenyewe inazima
Mwenye ujuzi wa namna ya kurekebisha hili ttzo plz anijuze.
 
ishageuka desktop sio?

Betri lishakufa hilo badilisha betri
 
Kabsa mkuu
Sasa mkuu naomba msaada betri iyo ni kama Tsh ngapi hv?
Sijajua ila nadhani betri la kawaida huwa 15k-45k na mazuri huwa yana rank kwenye 50k-100k..ingia town utayakuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…