Nina simu tajwa hapo juu ina app ya otg USB lakin nmeshindwa jinsi ya kucoppy au kumove nyimbo ktoka kwenye simu kwenda kwenye flash
Nmejarbu kutmia Filela send to SD card through share imegoma kabsa maan zaman nilikua nklitumia nilipokua na tecno L 8 lilikuwa linakbali
Kama kna mtu anajua file zuri anisaidie maana internal memory imejaa nataka kwenye flash .