naombeni mnasaidie kwa ili nilimalizA kidato cha 6 nikafeli nikajarbu kusoma uandish nikishndwa kumaliza kwa sababu ya ukosefu wa ada kwa sasa nahangaika mtaaani ila nna kipaji cha utangazaji bt nikiomba kaz certificate inagomba pia naweza fanya u mceee kwenye masherehe
#ushauri plz