Habari programmers. Natafuta free sms API in PHP scripts , nyingi zilizopo online naona ni za java tu. Kwa anayejua website inayotoa free sms api(PHP) naomba anipostie link tafadhali. Au anayejua jins ya ku integrate kat ya phone na website yaan iwe unatuma sms kutoka website kwenda kwenye sim msaada tafadhali.