shukrani kiongoziOngeza vijipesa utafute mpya tu walau, used hawawezi kukupa waranty ya muda mrefu kwasababu hata wao ni kama ww, nao wamenunua used means lolote laweza tokea. Tatizo vifaa vya electronics havinaga staa leo kizima kesho hakiwaki.
HP kiongozi
nitajaribu kufanya hivyokwa bei hiyo na specs hizo si mbaya sana, nenda dukani na mtu au fundi anayevifahamu vitu hivyo akikagua atajuwa tu huo ni mzigo wa kuchukuwa au la.
ahsante pia kiongoziMimi nimeshanunua mashine katika maduka yao ikiwa na 3GB ya RAM, 320GB ya Hard Disk na 2.3 Processor. Laptop nilinunua mwaka jana na haina tatizo lolote lile mpaka sasa hivi, nakumbuka hawakunipa Warranty kubwa. Niliininua kwa 530,000 mwaka jana. Ila kwa hiyo bei yako Mkuu embu mtafute mtu mwenye ujuzi uende nae akaiangalie, Laptop zenye Processor kubwa huwa bei Mkuu.
nitazingatia ushauri wako pia, ahsante sanakwa ushauri zaid bora ujikaze ununue laptop mpya maana kuna za laki 490000 mpya na unapata warrant ya mwaka mzima hard disk320 ram2gb procecor cjafuatilia vzur maana mshikaji kanunua hzo used baada ya week 3 display ikaea imekufa ikamgharimu tena kutafuta fundi mwisho wasiku cost ikawa mlemle kama aliye nunua mpya ni hayo tu
shukrani sana kiongozi, ubarikiweMe nilinunua Pc K/ koo 360,000 nzuri sn. Dell: Hdd 250, Processor 2.9 duo core, Ram 3 ghz ina webcam. mwaka wa Pili sasa na ipo poa tu. Unaweza ukanunua mpya halafu bado ikabuma vilevile. Me nakushauri uende na ucheki vitu vya msingi vingine kama sauti, Cd rom, drivers though ni rahisi kuziingiza. kama viko poa ichukue TU