kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,687 Apr 22, 2015 #1 Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake. *Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni...
Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake. *Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni...
B bujashi25 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2013 Posts 623 Reaction score 112 Apr 22, 2015 #2 kila lakheri kwake katika mipango yake ya kuongea mbele
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,727 Reaction score 128,229 Apr 22, 2015 #3 Acha Kutuchefua Wewe Asubuhi Yote Hii!
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,231 Reaction score 15,643 Apr 22, 2015 #4 Yanga washamaliza kumlipia deni?,watamwongezea mkataba tu...
M MKALIKENYA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,196 Reaction score 486 Apr 22, 2015 #5 Haya Simba msajirini basi....kwi kwi kwi au mmesahau alichowafanya.
mkolaj JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 3,023 Reaction score 1,093 Apr 22, 2015 #6 kbm said: Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake. *Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni... Click to expand... Kwahiyo ndo unasemaje wewe Bint Zubeiry!!! Umeona kule kwenye blog yako hakuna wadau umeamua kuhamia na huku?!!!
kbm said: Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake. *Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni... Click to expand... Kwahiyo ndo unasemaje wewe Bint Zubeiry!!! Umeona kule kwenye blog yako hakuna wadau umeamua kuhamia na huku?!!!
cnjona JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 1,027 Reaction score 239 Apr 22, 2015 #7 kbm said: Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake. *Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni... Click to expand... kawaambie akina anspopo wamsajili basi..
kbm said: Kuanzia tarehe 20 Aprili 2015, Mrisho Ngassa si mchezaji wa Yanga tena, baada ya kumaliza mkataba wake. *Lakini yawezekana akamaliza msimu na Yanga kwa mujibu wa kanuni... Click to expand... kawaambie akina anspopo wamsajili basi..