Afu Shem na huyo ndg yangu Loya , umefanikiwa kumweka jagini eti ?
Hapa naona red light kwa Ruttashobolwa!
aaaaaah bwan shemeji
si unajua loya hana mpinzani
we umemuona Jiwe Linaloishi???
nilidondoka kwenye pipa la lami...... mpaka nicheke ndio naonekana
aaaaah swahiba kwa hiyo
rangi ya kwny avatar hata
ungedondoka wapi bado kangozi
kangeonekana!!u mzima wewe lkn!!
hahahha poa mi mzima sijuiwewe