Pole sana mkuu,Mungu yu mwema akutunze,ni muhimu upate ushauri wa kukuongoza ili uishi vizuri mimi sio daktari ila nafahamu kuwa kuugua si kufa jitahidi ukaabidhi njia zako zote kwa Mungu baba ,ondoa hofu na amini upo uponyaji wa mwili na roho kwa Mungu namwomba Mungu akupe utulivu,nguvu na ujasiri wa kupokea kwa upendo na kuishi ukimtumania kwa imani yako na kupokea ushauri utakaopewa.Mungu akubariki .wakuu habari za muda huu!!
kama tulivyo binadamu ukishazaliwa kuugua ni sehemu ya maisha! na mimi nimekuwa nikijitokeza ndani ya jukwaa hili mara kadha wa kadha kupata ushauri juu ya afya yangu!!
ukirejea badhi ya post zangu za awali niliomba ufafanuzi wa ugonjwa niliokuwa siujuwi, nikapata mwongozo mujaarabu, niliomba tena msaada wa hospitali ipi nzuri Dar, nilielekezwa vizuri nikafika Kwa Kairuki Mikocheni.
Bila kuwa chosha wakuu nilikutana na Dr Mpelumbe ambaye baada ya kunifanyia kipimo cha DVU ( Direct Vision Urethrology) nilipatikana na Prostate inflammation ambayo ni Chronic Prostatis.
Nb: najua humu kuna wataalamu wengi wenyewe uwezo wa kunishauri ni jinsi gani naweza kuishi na hii hali mpya, nini nifanye, nini nisifanye na ABC's zote za ugonjwa !!
And if I am fated to die soon, let me know, that will help to sum up what I am doing to win immotality.
Wasalaam.
Je umeanza matibabu?uko hospitali umelazwa au nyumbani ?samahaniwakuu habari za muda huu!!
kama tulivyo binadamu ukishazaliwa kuugua ni sehemu ya maisha! na mimi nimekuwa nikijitokeza ndani ya jukwaa hili mara kadha wa kadha kupata ushauri juu ya afya yangu!!
ukirejea badhi ya post zangu za awali niliomba ufafanuzi wa ugonjwa niliokuwa siujuwi, nikapata mwongozo mujaarabu, niliomba tena msaada wa hospitali ipi nzuri Dar, nilielekezwa vizuri nikafika Kwa Kairuki Mikocheni.
Bila kuwa chosha wakuu nilikutana na Dr Mpelumbe ambaye baada ya kunifanyia kipimo cha DVU ( Direct Vision Urethrology) nilipatikana na Prostate inflammation ambayo ni Chronic Prostatis.
Nb: najua humu kuna wataalamu wengi wenyewe uwezo wa kunishauri ni jinsi gani naweza kuishi na hii hali mpya, nini nifanye, nini nisifanye na ABC's zote za ugonjwa !!
And if I am fated to die soon, let me know, that will help to sum up what I am doing to win immotality.
Wasalaam.
Amini utapona fuatilia matibabu usikate tamaa Mungu akutie nguvu tunakuombeaBaada ya kupimwa na kupewa dawa nipo hpme, nimetumia antbiotic za kutosha bt kama ilivyo kuronik bado nahisi maumivu kwa mbali!
Pole sana mkuu!!duha zangu za kheri zi juu yako.wakuu habari za muda huu!!