Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
tununulie hata Pepsi na wew[emoji32]
hakikisha unasafisha nyumba inakuwa safi usela tupa kule tandika kitanda
minguo yako uikunje ikae smart
siyo anakutana na soksi mlangoni Mara taulo limening'inizwa kwenye kiti
kuusu kupika kama hujui kamnunulie tu
don't rush kwa sex again just kiss ila akiamua mwenyew it's ok
mwisho msifie na kumshukuru kwakuja kukutembelea
Kweli mkuu ushahidi muhimuhahahahah andaa camera tupate hata picha 2-3 mkuu
Safari hii lazima aumie tu hakuna namnaKula vyombo ww acha kupotezamda huyo anaona unamchelewesha tyuu unafikir yeye hapend ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata mkuughetto si disco huyo kaingia king mwenyewe.
Kunja nne subiri papuchi hiyo mkuu
Nimekusoma mkuu nitahakikisha mazingira ya istizuu yako freshtununulie hata Pepsi na wew[emoji32]
hakikisha unasafisha nyumba inakuwa safi usela tupa kule tandika kitanda
minguo yako uikunje ikae smart
siyo anakutana na soksi mlangoni Mara taulo limening'inizwa kwenye kiti
kuusu kupika kama hujui kamnunulie tu
don't rush kwa sex again just kiss ila akiamua mwenyew it's ok
mwisho msifie na kumshukuru kwakuja kukutembelea
Nimekuelewa mkuu lazima niwe mtulivu siku ya tukioMkuu hiyo mali yako, lakini kumbuka usioneshe kua kua unataka mzgo kiviile hiyo itakujaa tu atomatically yaan wewe utaona fanya unataka hutaki.. huku ukijikaza kiume lkn mwisho unachimbua madini
Sent using Jamii Forums mobile app