MUGAMBO IS pleased! ( Mwigembo kushwaaah) haha hii muvu inanikumbusha mbali enz zile kijijn kwetu kulikuwa hakuna TV isipokuwa kwa waarabu tuh sasa hapo ilikuwa nikwenda kutazama Muvi adi tym ya saa 5 usiku huku Nyumbani ukurud Ujiandae mvua ya Viboko!
Daah big up kwa Capital tv kwa kutukumbusha enzi za Utoto wetu!