Wale wadau wa margin trading robots na MQL5 programming.
Katika ulimwengu huu ambao tumeingia kwenye nyakati za matumizi ya Akili mnemba vivyo hivyo hata sekta nyeti kama vile margin trading nazo hazijaachwa mbali.
Sasa waweza tengeneza EA ambazo zinatumia Artificial Intelligence, japo west sides walijaribu kuwawekea vikwazo Urusi na baadae kulegeza kwa kuifungua Meta Trader kwenye iOS na baadae kuiachia kwasabu tu ni project ya Urusi.
Sasa MQL5 wanakuletea NEURO NETWORK ikiwa ni muongozo wa kuunda EA zinazotumia AI katika margin trading, waweza jifunza Bure kabisa hapa
πππ