Shuguri=Shughuli
Una patikana wapi? na huyo mpishi unamhitaji wapi?
Unahitaji mpishi wa kupika vyakula vya kitanzania,kihindi,kichina au?
Uki weka na namba yako ya simu itapendeza!!
Polen na majukum wanajukwaa.....Natafuta mpishi wa shughuri, awe na menyu yake yenye kuonesha mchanganuo[/QUOTE ukihitaji wahudumu au wasaidizi wa mpishi tuwasaliane