Wana JF Hola!
Ni takribani siku chache tangu nitoe ule uzi "mpenzi wangu anapenda ninavyo vuta sigara" baada ya kumuonyesha ushauri, ulioambatana na vitu vya kuogopesha, mpenzi wangu ameniruhusu niache kuvuta sigara, pia yeye ameamua kunibadilishia hobbies ili nisivute sigara, pia ameanza kunipunguzia idadi ya sigara, kwa siku, kwani anajua kuacha ghafla haifai, sasa tokea juzi, navuta sigara kwa masaa, yaani kila baada ya masaa 6 kwa siku navuta sigara moja, hivyo kwa siku navuta sigara 2, pia when am away, huwa ananitupia picha ya stop "smoking Bae " kila saa kwa njia ya whatsApp, pia nkirudi home, ananinusa kama nilivuta wakati niko nje ya upeo wa macho yake!! Mambo haya yamekua yakinipa moyo, Leo tumepanga kuangalia movies mpka jioni, her aim was to keep me busy, ili hata siku ya leo ipite bila eve one shot of cigars!! Wana JF, ushauri wenu umembamba my lover, kiasi kwamba, Hongera Kwa Kuikoa Afya Yako Na Ndoa Kwa Pamoja, Lakini Huku Mpango Mzima Ni Lowasa