Mpenzi wangu ananitatanisha

Mimi niliwahi achana na demu kisa amenifunga Free Kick kwenye FIFA. Hakuna namna anaweza jifunza peke yake kunifunga tokea katikati ya uwanja [emoji23][emoji23]
Inamaana ni fundi kwenye Hilo eneo,amefuzu baada ya mazoezi ya kutosha kwenye gesti hausi za kutosha huko alikokulia🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…