Mpenzi wangu ananitatanisha

Wala katka vitengo uanvyo vitaja hayupo huko

Huyo dada Ni mwanasheria mahiri Sana

Hata hvyo kumlala na wakubwa kumlala siyo ishu mm Niko pale kimkati Zaid dogo tafuta pesa acha kuwaza ujinga eti kumla piss Kali Ni hatari kwako
 
Mbona me wanazama huko na wengine wanafanya makubwa zaidi mkuu
😂😂😂
Huo ni uchafu sasa
Na dhambi pia
Manake Mungu aliweka style moja tu kifo Cha mende kwa ajili ya kuendeleza kizazi
Sasa Wana wa nyoka wakaboresha
Ndomana Mungu alichoma miji ya sodoma na Gomora kwa kiberiti Cha moto kwa mambo hayo
 
Acha uzinzi kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…