P P.V.Y. Member Joined Jun 11, 2014 Posts 41 Reaction score 3 Aug 2, 2014 #1 Naombeni Ushauri. Ninampenzi Nampenda Ananipenda Ila Kaninyima Penzi Anadai Mpaka Baada Ya Miaka Miwili. Nifanyeje?
Naombeni Ushauri. Ninampenzi Nampenda Ananipenda Ila Kaninyima Penzi Anadai Mpaka Baada Ya Miaka Miwili. Nifanyeje?
Mjomba Fujo JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,536 Reaction score 6,561 Aug 2, 2014 #2 si ushaambiwa subiri unataka nini tena.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,369 Aug 2, 2014 #3 Muulize mwenyewe huyo demu wako ufanyeje.
E elmeleki New Member Joined Jan 13, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Aug 2, 2014 #4 Labda ana umwa kwahiyo niushauri wa daktari hubujaribu kukaa nae umuulize lakini hiyo kitu si chakula usilazimishe
Labda ana umwa kwahiyo niushauri wa daktari hubujaribu kukaa nae umuulize lakini hiyo kitu si chakula usilazimishe
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 Aug 2, 2014 #5 Mnhhhhhhh
steveson manumbu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 887 Reaction score 178 Aug 2, 2014 #6 ha ha ha noma sana angalia usijepewa mbuzi kwa gunia mkuu
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,174 Reaction score 34,405 Aug 2, 2014 #7 Diary of a sexually starved man.
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,748 Reaction score 2,038 Aug 2, 2014 #8 We subiri tu ...ukishindwa chepuka
P P.V.Y. Member Joined Jun 11, 2014 Posts 41 Reaction score 3 Aug 2, 2014 Thread starter #9 mjomba fujo said: si ushaambiwa subiri unataka nini tena. Click to expand... By P.V.Y. Mvumilivu Hula Mbivu, Sasa Mimi Na Yeye Tunapendana Ya Nini Kukaa Mda Wote Huo Mkuu?
mjomba fujo said: si ushaambiwa subiri unataka nini tena. Click to expand... By P.V.Y. Mvumilivu Hula Mbivu, Sasa Mimi Na Yeye Tunapendana Ya Nini Kukaa Mda Wote Huo Mkuu?
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 Aug 2, 2014 #10 Hilo ni jambo la kukubaliana ninyi wawili. Kama unaweza subiri kama huwezi chapa lapa
P P.V.Y. Member Joined Jun 11, 2014 Posts 41 Reaction score 3 Aug 2, 2014 Thread starter #11 elmeleki said: Labda ana umwa kwahiyo niushauri wa daktari hubujaribu kukaa nae umuulize lakini hiyo kitu si chakula usilazimishe Click to expand... By P.V.Y. Asante.Ntajaribu Kuongea Nae Tena.
elmeleki said: Labda ana umwa kwahiyo niushauri wa daktari hubujaribu kukaa nae umuulize lakini hiyo kitu si chakula usilazimishe Click to expand... By P.V.Y. Asante.Ntajaribu Kuongea Nae Tena.
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Aug 2, 2014 #12 Kama huwezi njia nyeupe
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,190 Aug 2, 2014 #13 Sikitiko la Mahaba
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,577 Aug 2, 2014 #14 Hii ndio news arlert?
S Sanjally Member Joined Feb 23, 2012 Posts 97 Reaction score 17 Aug 2, 2014 #15 Tafuta mchepuko huku unamsubiria yy
N ng`wana ong`wa kulwa JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 2,420 Reaction score 1,754 Aug 2, 2014 #16 Himidini said: Sikitiko la Mahaba Click to expand... hahahahaha ya malimwengu mengi mkuu . Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
Himidini said: Sikitiko la Mahaba Click to expand... hahahahaha ya malimwengu mengi mkuu . Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,269 Reaction score 108,261 Aug 2, 2014 #17 P.V.Y. said: Naombeni Ushauri. Ninampenzi Nampenda Ananipenda Ila Kaninyima Penzi Anadai Mpaka Baada Ya Miaka Miwili. Nifanyeje? Click to expand... Tafuta papai bivu ulimalizie ukame wako...
P.V.Y. said: Naombeni Ushauri. Ninampenzi Nampenda Ananipenda Ila Kaninyima Penzi Anadai Mpaka Baada Ya Miaka Miwili. Nifanyeje? Click to expand... Tafuta papai bivu ulimalizie ukame wako...
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Aug 2, 2014 #18 Jiandae kisaikolojia.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Aug 2, 2014 #19 Au oa mke wa pili - sabuni au lotion
little hulk JF-Expert Member Joined Jun 20, 2014 Posts 1,610 Reaction score 558 Aug 2, 2014 #20 subiria mpaka miaka miwili ifike (kama utaweza) then akukpga kalenda... tafuta uelekeo mwingine