Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 426
- 540
Hii kweli ni Mijadala MigumuTupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine.
Sasa kuna mpangaji ambaye tulimteua awe in charge wa kukusanya bill za maji, taka, umeme etc. hapa tunapokaa.
Hivyo jamaa ana access ya mawasiliano ya wapangaji wote hapa tunapoishi, kiufupi ana namba yangu na ya wife pia.
Sasa juzi niko na simu ya wife meseji ikaingia " nimekukosea nini mbona hujibu meseji zangu " Ikiwa imeseviwa jina la jamaa.
Kufatilia meseji za nyuma naona jamaa ni karibu miezi miwili sasa anajaribu kumtongoza wife, japo wife ameonekana kumkazia na kumsisitiza kuwa anaiheshimu ndoa yetu. Nimeona kupitia meseji. Ingiwa wife hajaniambia mimi hiki kinachoendelea.
Ushauri wadau. Vipi nimchane huyu jamaa kuwa aachane na wife, au nimpotezee kwanza kama sijui kinachoendelea.
Kuchanganyikiwa mchezo🤣🤣 lazima irudiweeMPANGAJI MWENZANGU ANAMNYEMELEA WIFE.
Tupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine. Sasa kuna mpangaji ambaye tulimteua awe in charge wa kukusanya bill za maji, taka, umeme etc. hapa tunapokaa. Hivyo jamaa ana access ya mawasiliano ya wapangaji...www.jamiiforums.com
Si umkaze huyo jamaa!Tupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine.
Sasa kuna mpangaji ambaye tulimteua awe in charge wa kukusanya bill za maji, taka, umeme etc. hapa tunapokaa.
Hivyo jamaa ana access ya mawasiliano ya wapangaji wote hapa tunapoishi, kiufupi ana namba yangu na ya wife pia.
Sasa juzi niko na simu ya wife meseji ikaingia " nimekukosea nini mbona hujibu meseji zangu " Ikiwa imeseviwa jina la jamaa.
Kufatilia meseji za nyuma naona jamaa ni karibu miezi miwili sasa anajaribu kumtongoza wife, japo wife ameonekana kumkazia na kumsisitiza kuwa anaiheshimu ndoa yetu. Nimeona kupitia meseji. Ingiwa wife hajaniambia mimi hiki kinachoendelea.
Ushauri wadau. Vipi nimchane huyu jamaa kuwa aachane na wife, au nimpotezee kwanza kama sijui kinachoendelea.
Amfate akamkaze…Mfate jamaa man yo man
Aende na pliersAmfate akamkaze…
Na wala asiongee chochote na wifeMfate jamaa man to man
KabisaAende na pliers
Aue mwizi kimya kimyaNa wala asiongee chochote na wife
Tupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine.
Sasa kuna mpangaji ambaye tulimteua awe in charge wa kukusanya bill za maji, taka, umeme etc. hapa tunapokaa.
Hivyo jamaa ana access ya mawasiliano ya wapangaji wote hapa tunapoishi, kiufupi ana namba yangu na ya wife pia.
Sasa juzi niko na simu ya wife meseji ikaingia " nimekukosea nini mbona hujibu meseji zangu " Ikiwa imeseviwa jina la jamaa.
Kufatilia meseji za nyuma naona jamaa ni karibu miezi miwili sasa anajaribu kumtongoza wife, japo wife ameonekana kumkazia na kumsisitiza kuwa anaiheshimu ndoa yetu. Nimeona kupitia meseji. Ingiwa wife hajaniambia mimi hiki kinachoendelea.
Ushauri wadau. Vipi nimchane huyu jamaa kuwa aachane na wife, au nimpotezee kwanza kama sijui kinachoendelea.
yeah, mwanamke smart haachi sms za miezi miwili nyuma hata kama kama hamtaki jamaa, kitendo cha yeye kuacha hizo sms ni kutengeneza ushahidi,Nikwambie au nikuache??
Wacha nikwambie mkeo mjanja kashapitiwa na huyo incharge wenu, ila kaacha msg za mtongozo ili kukufanya kanyaboya.!!
Mwanamke ambaye hataki mazoea ya kijinga angeshamblock na usingekuta msg ambazo anahisi zitaweka ndoa yake mashakani.!!
Huyo jamaa anapigiwa ila hajashtuka aisee.!!yeah, mwanamke smart haachi sms za miezi miwili nyuma hata kama kama hamtaki jamaa, kitendo cha yeye kuacha hizo sms ni kutengeneza ushahidi,
swali la kujiuliza, anatengeneza ushahidi wa nini kama hajatafunwa?
Mle wa kwake haraka haraka, ukimaliza mpige mkwala sasa ili aache kumfatilia mkeo, mjinga sana huyo jamaaTupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine.