Acha aiue mkuu kwani ni parokia ya kanisa inayaharibu misingi ya nchi na kukumbatia ubaguzi udini na ukabila.Yaonekana ndiyo mtindo anaoutumia adui wa upinzani hapa nchini.
Mrema hakuiacha NCCR mpaka alipoisambaratisha.
Lipumba hakupachoka Buguruni mpaka alipopasafisha.
Zitto hajaiacha ACT mpaka aporomoe kule Zanzibar.
Sasa Mbowe aliyeimbiwa tuvushe sijui nani; alitegemewa na wengi akiweke chama kwenye mikono ya damu changa!
Lakini kwa dalili zilizopo haachii ngazi hadi wamegawana fito za nyumba.
Kiongozi gani anayeamini bila yeye haiwezekani kusonga mbele?
Ingwa sikubaliani Chama kuwekwa mikononi mwa mamluki wanaoingia na kutoka.
Lakini mbona damu changa zipo zisizonunulika hata kwa dola?
Hapana, kuna shida fulani kwa huyu asiyestaafu.
Mtakuja kuniambia tukijaaliwa na Mwenyezi.
Msidhani la bandari nimeshalizoea, la!.
Inauma kwa kweli.
Adumu mwenyekiti Mbowe!Yaonekana ndiyo mtindo anaoutumia adui wa upinzani hapa nchini.
Mrema hakuiacha NCCR mpaka alipoisambaratisha.
Lipumba hakupachoka Buguruni mpaka alipopasafisha.
Zitto hajaiacha ACT mpaka aporomoe kule Zanzibar.
Sasa Mbowe aliyeimbiwa tuvushe sijui nani; alitegemewa na wengi akiweke chama kwenye mikono ya damu changa!
Lakini kwa dalili zilizopo haachii ngazi hadi wamegawana fito za nyumba.
Kiongozi gani anayeamini bila yeye haiwezekani kusonga mbele?
Ingwa sikubaliani Chama kuwekwa mikononi mwa mamluki wanaoingia na kutoka.
Lakini mbona damu changa zipo zisizonunulika hata kwa dola?
Hapana, kuna shida fulani kwa huyu asiyestaafu.
Mtakuja kuniambia tukijaaliwa na Mwenyezi.
Msidhani la bandari nimeshalizoea, la!.
Inauma kwa kweli.
Wewe inakuuma nini kwa mfano.Yaonekana ndiyo mtindo anaoutumia adui wa upinzani hapa nchini.
Mrema hakuiacha NCCR mpaka alipoisambaratisha.
Lipumba hakupachoka Buguruni mpaka alipopasafisha.
Zitto hajaiacha ACT mpaka aporomoe kule Zanzibar.
Sasa Mbowe aliyeimbiwa tuvushe sijui nani; alitegemewa na wengi akiweke chama kwenye mikono ya damu changa!
Lakini kwa dalili zilizopo haachii ngazi hadi wamegawana fito za nyumba.
Kiongozi gani anayeamini bila yeye haiwezekani kusonga mbele?
Ingwa sikubaliani Chama kuwekwa mikononi mwa mamluki wanaoingia na kutoka.
Lakini mbona damu changa zipo zisizonunulika hata kwa dola?
Hapana, kuna shida fulani kwa huyu asiyestaafu.
Mtakuja kuniambia tukijaaliwa na Mwenyezi.
Msidhani la bandari nimeshalizoea, la!.
Inauma kwa kweli.
Yaonekana ndiyo mtindo anaoutumia adui wa upinzani hapa nchini.

CHADEMA ni parokia ya mtakatifu mtei na mwenye heri Mbowe. Haiwezi kupata ufuasi mkubwa maeneo yenye waislamu wengi bila kuambatana na wanasiasa wa kiislamu.Du, nawaonea huruma. Maan ni chama nilichokuwa nakiamini kuitoa CCM. Lakini kwa mkutano ule wa TEMEKE, nimewaponda sana na kimsingi watanzania waliwaponda. Ndio maana hawakupata watu.
Nafikiri mwanzo wa anguko lao ndio ule mkutano wa TEMEKE. Bye bye CHADEMA.
Tatizo ni mwenyekiti asiyeona amefikia ukomo wa kuongoza. Aachie mawazo mapya waongoze.Du, nawaonea huruma. Maan ni chama nilichokuwa nakiamini kuitoa CCM. Lakini kwa mkutano ule wa TEMEKE, nimewaponda sana na kimsingi watanzania waliwaponda. Ndio maana hawakupata watu.