Hello naitwa wanajamvini pls natafuta mchumba ambae soon atakuwa mume awe kuanzia miaka 35 na kuendelea, awe mkristo na awe tayari kupima. Akiwa na mtoto asizidi mmoja mm Niko mbeya. Sichagui rangi. Kama INA vigezo karibu PM. Mm naishi Mbeya kikazi

Pole sitii huruma kwasababu tayari Nina mtoto some circumstances zilitokea tuu ikawa hivyo so ndugu sina haraka na ningekua sijapata haka kafirst born ndio ningekuwa na haraka.