F.y.i hao madogo wanaojidai wanampa P.H.D lift ndo wanajichoresha kubabaikia mastar nimjuanyo PHD hatoki bila company na hata akisema hajisikii kutoka basi hao midananda watamtimbia mpaka home wamtoe ili nao nyota zing'ae kupitia mkali PHD!....nyota iking'aa mjini hapa ni raha sana!hulali njaa na pesa yako ukiwa mjanja ni kuisave tu!PHD siyo chizi magari na kama ulikuwa unadhani anategemea kununua gari leo au kesho utasubiri sana maisha kwake yanasonga!thamani ya nguo za PHD tangu mwaka uanze huu ni above 10m ndo ujiulize anashindwa kununua gari?
Kwani wewe kau!Hemedi unamchukia?kwanini?usifuate mkumbo ukamchukia the entertaner ambaye hakuchukii!!!!mbilikimo mbilinyi anachukiwa na manigga mauso magumu kwakuwa kawasaliti!!!PHD hahusiki kabisa katika hii thread.....