ndiyo maana Mtafuna big G kala kona....Mr. Alex Fergie aliona ataabika mbele ya Mou. Mou ajipange namna ya kumnyanga Wenger kombe la Premier msimu 2014/1015...maana tayari Wenger Kashalichukuwa msimu ujao bado kukabidhiwa.
Kwa taarifa yenu Arsernal ndiye Bingwa wa Premier League 2013/2014. Mark my words.