seansenior
Member
- Jan 30, 2018
- 10
- 17
Mkuuu umenena npo na ww kabisa,Josee anatumia rasilimali alizo nazo vibaya ndoo maana simkubali mmLukaku kaanza game 30+ za ligi tena dakika 90 zote, lakini ana magoli 16 tu.
Hawa vijana huwa wanapata muda mchache wa kuingia uwanjani lakini kila mmoja ana magoli karibia 7/8.
Huwezi kumpa nafasi ya kuanza kijana uliyemkalisha benchi mechi 5 mfululizo ukategemea atafanya cha ziada.
Martial & Rashford wamemzidi mbali sana huyo Lukaku. Wangekuwa chini ya kocha kama Guardiola au Wenger au Fergie au Klopp ambao wanajali vijana, sasa hivi wangekuwa mbali sana kimpira.
Mourinho amewarudisha nyuma mno.
Martial, Shaw na hata Rashford wachukue maamuzi magumu ya kutafuta maisha kwingine kama walivyofanya akina De Bruyne, Salah, nk Mourinho huwa hawaamini vijana.
Anataka ready made players. Hawezi kutengeneza vijana.Mkuuu umenena npo na ww kabisa,Josee anatumia rasilimali alizo nazo vibaya ndoo maana simkubali mm
Mourihno hana uwezo wa kuwaamini na kukuza vipaji vya vijana.Baada ya mechi ya Jana kupoteza dhidi ya Brighton Mo akawachana wachezaji wake live,alisema baadhi ya wachezaji hawaumii na matokeo kama yale pia aliwaambia waandishi kuwa kwa sasa watakuwa wamepata jibu kwanini kila siku LUKAKU anamuanzisha
Amesema wachezaji wengine hawajitumi na ndio maana anawalisha mbao hayo ameyasema baada ya akina rashford na martial kuboronga Jana
Kwangu naona Mo kuongea maneno kama haya tena hadharani yana faida sana kwa wachezaji husika hii inawasaidia kukua na kujitambua pia kujifunza nini wanatakiwa kufanya kwenye wakati sahihi
Wenger amefail kuwafanya makinda wake kama hivi kwenye miaka ya karibuni na ndio wanamuangusha na kumtoa machozi
Labda kwenye kitu atakuja kujuta Wenger ni kuwaamini hawa akina Iwobi,Big Up kwa Mo kwani kauli kama zile ni nyenzo muhimu kwa mchezaji aliyebweteka
Mpira sio kufunga tu, Lukaku bullies opposition defense.Lukaku kaanza game 30+ za ligi tena dakika 90 zote, lakini ana magoli 16 tu, na hayo magoli 16 asilimia 60 ametengenezewa na hawa Martial & Rashford.