Moto umekula Harrier

pole sana mkuu,kama umelikatia comprehensive insurance itakuwa ni kheri sana kwako
 
Ilikuaje tena Mkuu Casuist?? Pole sana kiongozi
 
Last edited by a moderator:
Poleni kwa kuandika title na kusababisha kutoeleweka, ni lugha ya picha wakuu. Sio langu

NA bora sio yako maana nilikuwa nshaanza jiuliza kama riwaya yetu ya bondia kama kweli itaendelea LOL.......
 
Kupotelewa na chako sikia kwa mwenzio usiombe yakukute
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…