K kafukugm Member Joined Oct 10, 2009 Posts 11 Reaction score 6 Nov 23, 2015 #1 Daladala nyingi zinatoa moshi mbaya sana wa unburnt diesel fuel. Sijui kama wana mazingira na afya wanalijua hili. Ni adhabu na hatari kuwa nyuma au pembeni mwa daladala uwapo kwenye foleni.
Daladala nyingi zinatoa moshi mbaya sana wa unburnt diesel fuel. Sijui kama wana mazingira na afya wanalijua hili. Ni adhabu na hatari kuwa nyuma au pembeni mwa daladala uwapo kwenye foleni.