DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,470
Hapana Phiri hajaitwa na nadhani hilo ni jambo zuri kwa sasa.wameitwa na chama timu ya taifa leo
mbna kwenye zambia squad niliona kama phiriHapana Phiri hajaitwa na nadhani hilo ni jambo zuri kwa sasa.
Kaitwa.Hapana Phiri hajaitwa na nadhani hilo ni jambo zuri kwa sasa.
Utasubiri sana.Mayele hana chake
Kaitwa.
Phiri aliyeitwa kwenye kikosi siyo huyu ni mwinginembna kwenye zambia squad niliona kama phiri