100k chukua,Now price reduced to 150000/=...Welcome all
Ok bossNop 150 mkuu kiroho safi
Risit yake ipo
Mzigo hauna tatizo lolote (nimenunua kubwa zaidi)
Inaitwa HP COMPAQ DC7100 TOWER COMPUTER
PROCESSOR Intel Pentium 4,3.2Ghz
RAM 1Gb (512mb X2)
Cd rom
System 32bits
Hard Disk 320gb (200gb full of mp3 files)
Installed window 7 activated
Nauza pc yenyewe ikiwa na power cable na keyboard tu (no monitor, mouse, vga)
Mzigo upo Morogoro Msamvu
Bei 180000/=Tsh
Wa mbali utagharamikia usafiri
Contacts
0713055107
0625941537
Unawez kunitafutia kam NNE nichukue tarehe 15 mwez huu?Nnayo moja ndiyo nlikuwa naitumia but now niko na ingine
anauza desktop hauzi cpuUnauza desk top au unauza cpu?!!..
Cpu ni sehemu ya kompyuta kama ilivyo kwa mouse, keyboard na monitor... lakini haikai ndani ya kompyuta!!..Nauza desktop computer ambayo ukiinunua ndani yake ndio kuna iyo central processing unit (cpu)..Karibu