Dena, nilivyoona watu hawahesabiki kwa wingi nikatamani kuwahesabu, lakini nilipofika 4 nikashindwa maana ni wengi sana.... Lol Lol Lol!
Digna kuna zaidi ya hao ngoja nikuongezee list ya mainvisible,,,lol
hihihihi......babu's dawa is beyond description
hi hi hi!mhandisi ndo naanua hema hapa nikukute engaruka ama silalei
mhandisi naomba tupitie njia ya Malanja maana hiyo ya kawaida nasikia haifai.......usisahau kuja na bainokula
hahahaha!mhandisi tunaenda kutalii ama kutibiwa bainokula ya nini?kama malanja poa iwe hivyo basi maana labda kuingilia wasso ndo rahisi,uje na kibuyu chako cha loshoro yangu ni kidogo haitutoshi wawili