hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
Hoolligan,
Nataka nikupe habari za Ali.
Nikimpenda toka udogo wangu nina miaka 12 mwaka 1964 Ali alipochukua
mkanda.
Nilifika Guy Madison Square Garden New York pale imewekwa picha kubwa
sana ya Ali na Joe Frazier.
Nilisimama kuitazama ile picha kwa muda mrefu sana na ikanikumbusha mengi.
Kwanza ikiwa hujasoma kitabu chake kitafute, ''The Greatest My Own Story.''
Ali alipompiga Sonny Liston 1964 wengi walimsifia Ali siku hizo akiitwa Cassius Clay.
1974 alipokuwa anajitayarisha kupigana na George Foreman mtu wake wa massage
Mzee kutoka Cuba alimwambia kuwa Sonny Liston hakuwa chochote.
Ikiwa Ali kwa hakika anataka adhihirishe kuwa yeye ni ''Greatest,'' basi ampige Foreman.
Yule mzee kutoka Cuba alimfananisha Forema na simba na Ali mtu anaetaka kuingia
katika tundu lake kuchukua nyama.
Foreman alikuwa yeye akifika round ya tatu mpinzani anakuwa keshalala chini flat.
Walipomaliza round ya pili sasa wanakwenda ya tatu wapambe wa Foreman wakawa
wanamwambia Foreman kwa sauti ya juu, ''Finish him off.''
Akiwa katika kigoda chake kwenye corner yake daktari wake Dk. Pacheco akamwambia
Ali, ''Unasikia jamaa wanavyosema?''
Ali akajibu, '' Huyu mimi nampiga.''
Pacheco akashangaa akamwambia Ali,'' Basi mpige tumalize hili pambano.''
Ali akamwambia Dk. Pacheco,''Let us have some fun first.''
The rest is history.
Tena umempenda kwa vitendo maana sura ya Cassius Clay umeifanya avatar yako utafiti. Na btw, heading ya thread ilitakiwa iwe: Mohamed Ali, the greatest fighter of all time. Hali ya kiafya ya huyu shujaa inatia huruma sana.Mohamed Ali Clay, namkubali sana huyu mtu, ni mfano mzuri wakuigwa. hooligan01 nimesoma kitabu cha Ali
yupo hai...kwani si alishafariki mkuu shieka au mohamed bado yupo?
yupo hai...
Alifariki? Hapana ila tu navyojua ni kuwa amezeeka sana na amekuwa kama na matatizo ya ubongo labda kwa sababu ya zile ngumi walizokuwa wanapigana.
Mohamed Ali ni mtu namfuatilia sana kimaisha. Bado mzima hajafariki. Aliyefariki ni smoking joe - Joe Frasier.
Na yule binti yake nae ni bondia
Yeah, ni Leila Ali, sijui ameishia wapi.
Wee bwana wee! Unajua Kim nana, Mohamed Ali alikuwa mtu wa michepuko sana.Ndoa yake na Belinda iliishia wapi?
Wee bwana wee! Unajua Kim nana, Mohamed Ali alikuwa mtu wa michepuko sana.
Wakiwa na Belinda Mohamed alichepukia kwa mwanamama aitwaye Victoria
Porsche na mahusiano haya mapya yakavunja ndoa ya Belinda mwaka
1977. Victoria akawa mke wa tatu kwa Mohamed Ali. Belinda akaachwa na watoto wake wanne,
kati ya hao wakiwa mapacha:Jamilla na Rasheeda.