inabid dunia ibadilike kuhus uchezaji bora,forwards kisa wanafungaa na assist ndo wanabeba tuzo kirahisi..imagine kipa km degea tuzo hiz hta mchezaj bora wa dunia zlmfaa in his football span..
bro edwin yule van der sar alibeba takataka zote,alfanya kazi kubwa sana but tuzo za juu hakupata.
all n all safi salah.. 'africa' is proud.