Unai Emery
Member
- Nov 19, 2019
- 79
- 62
Kwani nyie utopolo mbona kila kitu kwenu vita?????[emoji23][emoji23][emoji23]Eti Orlando pirates,kaizer,royal am na supersport... [emoji1][emoji1][emoji1]
What a joke!!
Hii atakua kaandika tshabalala mwenyewe na wakala wake!!!
Yaani mtu yupo umri wa kustaafu anaota ndogo za kwenda timu za sauzi, akubali umri umemtupa mkono, Simba wamstiri au aende singida big star club ya ma veteran
Wala sio vita mtaniKwani nyie utopolo mbona kila kitu kwenu vita?????[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni ulimbukeni,
MKIAMBIWA HAMNA AKILI MNALALAMIKA DAH
Nawe umeandika hii pumba?Labda kama ligi ya SA inapokea wazee
Sikuwezi kwa ubishi tufanye ana miaka 22 kama unatumia kigezo cha sura Zawadi Mauya na Baleke nani mkubwa?Nawe umeandika hii pumba?
Tshabalala na Mayele nani mwenye umri mkubwa?
Achilia mbali age cheating ambayo kwa Africa imekuwa regular, hata kwa sura yupi ukimuangalia ni anaonekana mkubwa kuliko mwingine?
Shabalala aachwe tu SSC. Magoli mengi yanatokea upande wake. Hizo habari kuwa eti kuna timu kubwa za nje zinamuhitaji ni stori za kusadikika kuitishia SSC wasimwache. Yeye aondoke tuuuuMOHAMED HUSSEIN TRANSFER UPDATE[emoji837]
- Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Simba, MO Hussein anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo klabu kadhaa zimeanza kutuma ofa.
- Klabu za Afrika Kusini, Kaizer Chiefs, Royal AM na Orlando Pirates wametuma ofa rasmi kwa Menejiment yake huku Supersport United wakimtumia mtu wa kati kufikisha ofa kwa Wakala wake.
- Aidha Simba pia wameanza mazungumzo na Tshaba ili aongeze kandarasi ambapo kwasasa wanapewa kipaumbele kikubwa kuanzia ofa yao na vipengele vingine vya kimkataba ijapo hajasaini karatasi zozote mpaka hivi sasa.
Powered by @kariakoo_phones.tz @kariakoo_phones.tz
VISIT MOROGORO[emoji1241]
Jrfarhan [emoji3578]
Sasa hapo ndio umeongea nini????kumbe unajua kuwa kuna suala la mchezaji kukataa mkataba,sasa una uhakika gani kama simba hawakumpa mkataba????Wala sio vita mtani
Ila sioni mchezaji ambaye simba yenyewe wanataka kutafutia mbadala eti anatakiwa na giants wa south Africa
Afu ungetumia akili kidogo tu, Simba kama wanajua ana thamani isingekua rahisi waache mpaka mkataba wake uishe, lazima wangempa ofa ya ku extend mapema labda yeye akatae
Vitu vingine tue tunaambiana ukweli tu
Kubishana na utopolo yakupasa uwe na kipaji ....maana wote hawana akiliSikuwezi kwa ubishi tufanye ana miaka 22 kama unatumia kigezo cha sura Zawadi Mauya na Baleke nani mkubwa?
Tshabalala umuoni alivyokomaa vile kama naziNawe umeandika hii pumba?
Tshabalala na Mayele nani mwenye umri mkubwa?
Achilia mbali age cheating ambayo kwa Africa imekuwa regular, hata kwa sura yupi ukimuangalia ni anaonekana mkubwa kuliko mwingine?
Tofauti na matusi huna unacho kijuaKubishana na utopolo yakupasa uwe na kipaji ....maana wote hawana akili
Ndio unayostahili hayo maana huna kitu kichwani......Tofauti na matusi huna unacho kijua
SawaNdio unayostahili hayo maana huna kitu kichwani......
Tusi lipo wapi hapo?????Sasa unaelezwa vitu vingine unaleta mada/ligi nyingine kuhusu umri wa baleke na mauya kama si utopolo ni nini sasa?????
HUNA AKILI
[emoji3][emoji3][emoji3]Baleke mdogo sana. Kuna tofauti kati ya sura mbaya na sura iliyokomaa.Sikuwezi kwa ubishi tufanye ana miaka 22 kama unatumia kigezo cha sura Zawadi Mauya na Baleke nani mkubwa?