Nina uhakika yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya simba (aka mbumbumbu fc)endapo tutafungwa,mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya watz naupotoshaji kinyume na sheria ya nchi ya mwaka 1935,shria no 5 kiifungu no 2,kipengere A
Nina uhakika Yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya Simba (a.k.a Mbumbumbu FC).
Endapo tutafungwa, mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya Watanzania na upotoshaji kinyume na sheria ya nchi ya mwaka 1935, sheria no 5 kifungu no 2, kipengere A.
Mkuu yahoo nikiwa kama mwanafamilia wa Yanga damu, mtiifu kwa timu yangu niipendayo kwa mahaba ya dhati. Naungana nawewe tukifungwa Yanga jumapili tunaomba ban.
Asiye Yanga haimuhusu hii, tuacheni na Yanga yetu.
Ebu na wewe tukumbushie mara ya mwisho mliokuwa na bonge la timu na kuifunga Simba iliyokuwa inachechemea ni lini?
Mi tano bado nazikumbuka, na za juzi juzi tukiwa hoi bin taaban lakini mkachuchumaa kwa lazima tukapiga bao mbili, mkainjoi, tukainjoi wanaume na maisha yakaendelea!