MODEL:HUAWEI E3372h - 153 inaingiza line zote (universal)
Majuzi nlikuwa nataka kuweka modded web ui yenye option ya ussd
, nili install web ui ila haimalizi taa inawaka utadhani bado inainstall hio webu hata ukichomoa na kupachika upya, suluhisho pekee nlilopata ni kuingiza dashboard ya mobile partner kwa file la utps, Speed imepungua sana
MSAADA TAFADHALI