Mambo vipi mkuu? Aisee mie nami ni miongoni mwa tuliopata taabu sana kutumia hizi modem za voda(zte). Nimefuata mlolongo mzima, na modem iko detected na nimeweza ku-connect to the internet. Ila na-connect kupitia process hii control panel-network and internet-network and sharing centre then connect to a network. Hii dashboard ya k3570 uliyotupa, kila nikiifungua, inajaribu kufunguka then inajifunga. Kwahiyo nimeshindwa kuelewa tatizo hasa ni nini? Na hii issue hata kwa join air ni hivyo hivyo, the same problem happen.