bei zetu ni nafuu Tshs 100, 0000 per subject, Walim wetu wako vizuri
KARIBU
Mtanzania anayepokea net. salary ya lak 6.8 kwa mwezi na ujasiliamali anafanya na kuingiza laki 4.1 kwa mwezi hawezi afford gharama hio, mkuu uje ufanye edit ya figure maana raia wataogopa kuhudhuria darasa
Nitawatafuta!
Mi nipo kurasini nitawapataje darasa lipo wapi toa no.
Ok mkuu ,nishaliona
Wadau tunatoa Reviews classes kwa wale wanaopenda kusoma ya CPA- review,kwa ratiba yako
Final level, Intermidiate, na foundation level.
masomo Performance management, Auditing, taxation , Quantitives techniques , Financial management,
Walim wako vizuri
Karibuni tena term nyingine